• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 11 October 2017

    SITAHAMISHA MTUMISHI, NITATENGENEZA – WAZIRI JAFO

    1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo (katikati) akiwa na Naibu Mawaziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Sinkamba Kakunda (kulia) pamoja na Naibu Waziri Mhe. George Joseph Kakunda mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za OR TAMISEMI mjini Dodoma na kufanya kikao na Watumishi.
    2Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI George Joseph kakunda (kushoto) akisaini kitabu mara baada ya kufika Ofisini ‘OfisiyaRais –TAMISEMI’mjini Dodoma
    3Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Josephat Sinkamba Kandege akisaini kitabu mara baada ya kufika Ofisini, ‘Ofisi ya Rais –TAMISEMI, mjini Dodoma
    4Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo (katikati) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI mjini Dodoma (hawapopichani) mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Wizara hiyo, kulia ni Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Sinkamba Kandege pamoja na Naibu Waziri Mhe. George Joseph Kakunda
    5Watumishi wa OR-TAMISEMI wakifuatilia kikao na Waziri pamoja na Naibu Mawaziri (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za TAMISEMI –mjini Dodoma.
    6Katika picha ya pamoja ni viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI (katikati) ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Selemani Jafo kushoto akifuatiwa na Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Sinkamba Kandege (Afya,Miundombinu,ViwandanaUwekezaji, naSerikalizaMitaa),KatibuMkuu OR-TAMISEMIMhandisiMusa Iyombe, Naibu Katibu Mkuu (Afya) Zainab Chaula na kulia n iNaibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. George Joseph Kakunda (Elimu, Maji, Kilimo, MifugonaMaliasili), NaibuKatibuMkuu –ElimuTixonNzunda(Elimu) pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi ya Walimu Tanzania (TSC) Winfrida G.Rutaindurwa.
    ………………


                             NTEGHENJWA HOSSEAH – TAMISEMI, DODOMA

    WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. Selemani Said JaffoamesemahatahamishaMkuuwaIdarawalaKitengokatikaWizarahiilakiniatamtengeneza awe kamaanavyotakailiawezekuendananakasiyautendakajikaziwaSerikaliyaAwamuyaTano.
    WaziriJaffoameyasemahayowakatiwakikaochakenaWatumishiwaOfisiyaRais -TAMISEMI marabaadayakuwasiliMakaoMakuuyaWizarahiiambapoaliambatananaManaibuWaziriwa OR-TAMISEMI .
    WaziriJaffoalisemakuwa “Siwezikuhamishamatatizokutokaeneokwendalingine cha msinginikuhakikishatunamtengenezahapahapa awe kamatunavyotakakulingananamahitajiyetunaawezekuendananakasiyaSerikalihiisasahivikasiyetusioyakutembeabalinikukimbianalazimawotetwendapamoja”.
    Aliongezakuwanahitaji  “Consistency of information” kutokakwawatalaamwanaofahamuvizurimaeneoyaoyakazisiokilasikuunahamishaunaanzanamtumpyanayeanakuwahanataarifazakutoshakuhusukazizaawalihivyoinachukuamudakuanzakwendasawakwangumiminasemantamnyooshayeyoteambayehaendaninaviwangovyanguakiwahapahapanasikwingineko”.
    AidhaWaziriJaffoaliwataWatumishiwotekuachakufanyakazikwaulegevunakuwamakiniwakatiwotewakazikwanindioinayopelekakupataujirawako, kuachakufanyakazikwamazoeanakutoahuduma bora kwawananchi,  kutokujalimudahivyokutumiamudamrefukukamilishajukumuulilopewaamakutorudishamrejeshowakazinakutojali utu wawatuwengine.
    “Natakanionekilamtumishiyuko “busy for something” ilituwezekuwasaidiaWananchiwetu, nakatikahilitutapimanammojammojakatikaeneo lake amefanyaninikwasiku, wiki, mwezimpakamwakanayeyemwenyeweatusaidiekujitathminikuonakamaanaumuhimuwowotekatikaeneolakamaLah”
    WizarahiiniInjiniyamabadilikokatikaNchiyetuhivyosisilazimatuweWizara bora inayofanyakazizitakazoletachachuyaMaendeleokwamwanancHimmojammojanaTaifakwaujumla, hivyonitasughulikanawatumishiwotempakanionemnaendendakadiriyakasininayoitakailimabadilikochanyayawezekutokeaalisemawaziriJafo.
    “SitakikuonamtuanashindaOfisiniWizarahiiniwatekelezajiwa Sera mbalimbalina Sera hizozinatekelezwakwenyeMamlakayaSerikalizaMitaanatakaniwaonemkiendakufuatiliautekelezajinakuhakikishamiradiyoteinatekelezwakwaviwangonawananchiwanapatastahikiyaoyahuduma bora tokakwenyemamlakazaserikalizamitaazilizokokwenyemaeneohayonasiokushindaOfisini” AliongezaMhe. Jafo.
    AkizungumzawakatiwakikaohichoNaibuWaziriOR-TAMISEMIMhe. George Joseph Kakundaamesemaninachohitajitokakwawatumishiwa OR-TAMISEMI tufanyekazinatuipendeKazinakwapamojatuwezekuisimamiabajetiyaSerikaliambapoWizarahiitunapataasilimia 20.7 yabajetinzimayaTaifaletunilazimatuitendeehakikwasababuFedhazinakujakwetuninyingihiiinaonyeshaumuhimuwaWizarahiikwamaendeleoyataifa.
    Amesisitiza mambo matatuanayoyahitajitokakwawatumishikuwani “clarity” kuwanauwezomkubwawakuelewaMajukumu, Sera, Sheria, Program, Miongozonakanunimbalimbalisambambanamazingirawezeshiyatakayomuwezamtumishikufanyakaziambayohayayatatengenezwanamwajiripamojakuwauwezowakufanyakaziulizopangiwabilakusimamiwa  “competency”.
    NayenaibuWaziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph Sinkambakandegeninachohitajizaiditokakwenuniushirikianokwasababuhatakamamtuanawezakiasiganilazimaanahitajimsaadawamwingineiliawezekukamilishakaziyakevizurihakunanayewezapekeyakehizikazitunategemeananazaidiyahaponahitajiwatuwakwelinawaaminifuilituwezekufikiamalengoyapamoja.
    Kikaohikinawatumishiwa TAMISEMI ni cha pilitangukuapishwakwaWaziriwaNchiOfisiyaRais –TAMISEMI Mhe. SelemaniJaffopamojanaManaibuWaziri wake Mhe. Mhe. Joseph SinkambakandegepamojanaMhe. George Joseph Kakunda.

    TAMISEMI YA WANANCHI

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI