Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisaini
kitabu baada ya kupokewa na wafanyakazi mbali mbali kutoka Wizara ya
Afya baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Picha ya pamoja ya Viongozi Wakuu
wa Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
ikiongozwa na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu (wakatikati), Naibu
Waziri Dkt. Faustine Ndugulile wakwanza kushoto na Katibu Mkuu wa Wizara
Dkt. Mpoki Ulisubisya wa mwisho kulia.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya
jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akimtambulisha Naibu
Waziri wa wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile muda mfupi baada ya
kuapishwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisaini
kitabu muda mfupi baada ya baada ya kuapishwa na Raisi wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tukio lililofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam kulia ni Ummy Mwalimu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akilakiwa na
wafanyakazi wa wizara hiyo huku akiwa ameongoza na Waziri Ummy Mwalimu
baada ya kuwasili wizarani hapo.
No comments:
Post a Comment