Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa
Rais,katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Mohamed Aboud Mohamed (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wengine ni Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid
Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe.Mihayo Juma N’hunga,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Ofisi hiyo katika kikao
cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya
kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
Viongozi mbali mbali katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Ofisi hiyo katika kikao
cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya
kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 03/11 /2017.
No comments:
Post a Comment