Msemaji wa klabu hiyo, Jaffar Idd amesema: “Kwa sasa nTumefunga usajili kwenye kikosi chetu hatutasajili mchezaji mwingine nafasi zimeja.”
“Tumemuongeza mkataba kiungo wetu, Steven Kingue Mpondo raia wa Cameroon.”
Dirisha la usajili lilifunguliwa Novemba 15 na kutarajiwa kufungwa mwezi ujao
No comments:
Post a Comment