• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 1 December 2017

    CCM YAMPIGA CHINI WEMA


    Katibu mwenezi wa ccm ndugu Humphrey Polepole amemtaka Msanii Wema Sepetu ajitafakari nia yake ya kurudi chama hicho.Polepole amesema chama hicho sio kama daladala ambayo mtu anaweza kupanda na kushuka wakati wowote apendao.Polepole amesema ccm ina imani ma masharti na misingi ya uanachama pamoja na ahadi za mwanachama ambayo moja inasema"Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa ccm".Polepole amesema ni  vyema Wema akabaki hukohuko Chadema ama akaanzie kule alikochukulia kadi ya ccm wakati anajiunga na chama hicho.Polepole amezidi kueleza kukosa uaminifu kwa chama ni sababu tosha kumkataa mtu kuwa mwanachama wa chama hicho na akasisitiza ccm mpya itakuwa ni ccm chungu kwa baadhi ya wanachama wasiokuwa na misimamo na wasaliti.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI