Waziri
Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza na Kamati
ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina katika
mgogoro wao na taifa la Israel ilipomtembelea ofisini kwake. Waziri
Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim akizungumza na Kamati
ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina katika
mgogoro wao na taifa la Israel ilipomtembelea ofisini kwake. Wengine ni
wajumbe wa kamati hiyo. Wajumbe
wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za
Wapalestina wakiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania,
Dk. Salim Ahmed Salim. Sehemu
ya wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za
msingi za Wapalestina wakiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu
wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim. Wajumbe
wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za
Wapalestina wakimkabidhi Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim
Ahmed Salim (wa pili kulia) kitabu cha picha za historia ya Waparestina
na mgogoro huo. Waziri
Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim (wa pili kushoto)
katika picha ya kumbukumbu na Wajumbe wa Kamati maalum ya Umoja wa
Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za Wapalestina mara baada ya
mazungumzo. Wajumbe
wa Kamati maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotetea haki za msingi za
Wapalestina wakimkabidhi Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Dk. Salim
Ahmed Salim (wa pili kulia) kitabu cha picha za historia ya Waparestina
na mgogoro huo.
No comments:
Post a Comment