Kwa mara ya kwanza tangu kumalizika
kwa vita baridi jimbo la Hawaii nchini Marekani limefanyia jaribio
king'ora cha kuonya kuhusu shambulizi la nyukliaHawai kawaida ina ving'ora ambavyo huonya kuhusu majanga ya asili kama tsunami.
Kingora cha nyuklia kina mlio tofauti ambacho huwaonya watu kusalia manyumbani wakisubiri ushauri zaidi.
- Korea Kaskazini: Tunaweza kushambulia eneo lolote Marekani
- Trump: Tutaiangamiza Korea Kaskazini iwapo vita vitazuka
- Urusi yadai Marekani inaichokoza Korea Kaskazini
Kombora linalorushwa kutoka Korea Kaskazini linaweza kushambulia Hawaii ndani ya dakika 20 baada ya kufyatuliwa.
Hivi majuzi Korea ilifyatua kombora mpya la masafa marefu ambalo inadai kuwa linaweza kushambulia ndani ya Marekani
No comments:
Post a Comment