• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 12 December 2017

    Mbunge wa CHADEMA amkumbuka Kikwete

    Baada ya kuwepo kwa taarifa za kuhojiwa kwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenga, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi (61) na Idara ya Uhamiaji kuhusu uraia wake, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amesema utawala wa Rais Kikwete,
    makanisa yalisimama na kukosoa.
    Heche amesema kwamba utawala wa Kikwete Kanisa lilisimama imara kukosoa mambo kadhaa wakati ya serikali na waka hakuwahi kushuhudia viongozi wa dini wakihojiwa na kususitiza kwamba watu wasimame imara kupinga kuporwa kwa uhuru
    "Kanisa lilisimama imara kukosoa mambo kadhaa wakati wa utawala wa Kikwete, sikuona kiongozi anahojiwa uraia wake naamini ingekuwa kipindi hiki kanisa lingefutwa wangesema sio kanisa la Kitanzania, tusimame imara kupinga uhuru wetu kuporwa, hakuna alie salama" Heche .
    Taarifa zinadai kwamba Askofu Niwemugizi alihojiwa mara 2 na Idara ya Uhamiaji kuhusiana na Uraia wake kati ya mwezi Novemba na Disemba
    Mwishoni mwa mwezi Septemba , Askofu Niwemugizi alisema kuwa  imefika wakati nchi inahitaji kuwa na dira nzuri ambayo pia italetwa na Katiba Mpya na kusisitiza kwamba

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI