
Mtandao huo ulisema kuwa ubalozi wa Zimbambwe ulipeleka viti 300 katika eneo ambapo Bw Mnangawa alitarajiwa kuhutupia wanyeji wa raia wa Zimbabwe
Watu kadha waliokuwa wamekasirika walisema walizuiwa kuingia.
"Tuliambiwa tulipe lakini baadhi yetu tulizuiwa. Wengine hawakuja na wakati tuliomba kama tutaingia kwa niaba yao waikataa. Tukipiga kura hatulipi, lakini kumuona rais tunalipa."
Mwishowe wale walioingia ni wale waliweza kulipa. Inaashiria jinsi ubalozi umekubwa na uhaba wa pesa.
No comments:
Post a Comment