Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania leo Januari 11, 2018 amefanya uteuzi na kuwateua Bw. Alphayo
Kidata pamoja na Meja Jenerali Mstaafu Simon Mumwi kuwa mabalozi wa
nchi.
Taarifa
iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa
uteuzi wa Bw. Alphayo Kidata umeanza tarehe 10 Januari, 2018 na kabla ya
uteuzi huo, Bw. Alphayo Kidata alikuwa Katibu Mkuu, Ikulu.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa amesema kuwa Mabalozi Mabalozi hao wateule watapangiwa vituo vya kazi na kuapishwa baada ya taratibu kukamilika.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa amesema kuwa Mabalozi Mabalozi hao wateule watapangiwa vituo vya kazi na kuapishwa baada ya taratibu kukamilika.
No comments:
Post a Comment