Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amewatunuku kamisheni maofisa wanafunzi 197 wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ).
Katia tukio hilo ambalo lilipambwa na magwaride kutoka kwa Wanajeshi hao, lilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Kitaifa.
Miongoni mwa waliotunukiwa kamisheni hizo wanawake ni 28, na waliobaki ni wanaume.
No comments:
Post a Comment