• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 1 March 2018

    HUU NDIO MCHANGO WA RC MAKONDA


    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda anawatangazia wananchi wote waliowasilisha Malalamiko yao kwenye Ofisi yake dhidi ya Taasisi za Kifedha na Bank kufika Ofisini kwake siku ya kesho March 02 kuanzia Saa mbili asubuhiv kwaajili ya kuchukuwa Majibu yao.

    Walengwa ni wale waliosikilizwa na jopo la wataalamu na wanasheria wakati wa Wiki ya RC Makonda kutoa Masaada wa kisheria kwa wanyonge iliyofanyika January 29 hadi February 03.

    Zoezi la kutoa majibu linaendelea ambapo leo ilikuwa ni zamu ya wananchi wenye malalamiko dhidi ya Kazi na Ajira pamoja na Mirathi.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI