• Breaking News

    ..

    ..

    Monday 28 May 2018

    Huu ndio Ukweli Kuhusu Watu Walio Athilirika na Mvua



    Kamati ya  ya kutoa misaada ya kibinadamu iliyo undwa  na  mkuu wa mkoa wa Dar es salaa mhe . Paul Makonda  kwaajili ya kutoa  msaa kwa waathirika wa mafuriko mkoa wa Dar es salaam , imesema imekamilisha shugulihiyo.

    Akizungumza na wanahabari  mwenyekiti wa  kamati hiyo Ubaya Chuma  amesema  waathika wote walikuwa wametambuliwa wamefikiwa na misaada mbambali mbali ya kibina adamu ikiwemo kupatiwa Magodoro, vyakula  mbalimbali kama Maharage , Mchele,Unga wa ngano na mahindi.  Sukari na mafuta ya kupikia.

    Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Abdulah Aid, Arif Y. Abdurrahimani ameseama katika kuwapatia watu hao misaada taasisi mbalimbali zimeshiriki ikiwemo, Taasisi ya  Miraji Islamic Center ya Zanzibar , Taasisi ya Abdulla AID  na taasisi yake ,amesema wamefurahishwa  na huduma  na wameweza kuzifikia  kuzifikia  familia 600kutoka maeneo mbalimbali katika mkoa wa Dar es Salaam.

    Akisoma taarifa ya kamati hiyo George Shinga Mtambalike amesema wa  Jumla  na thamani ya vitu walizotoa ni pamoja na  kilo 2400 za mchele,kilo 360 za Sukari, Mafuta ya kupikia Lita 600,kilo 600 za Maharagwe na kilio600 za Unga wa mahindi.

    Aidha amesema misaada mingine iliyo tolewa ni pamaoja  na Magodoro 490, mito ya kulalia 490 ,Mashuka 490 pamoja na Net za Mbu.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI