Mkuu wa wilaya ya Temeke Felix Lyaniva amewataka wazazi kuwalea watoto katika maadili na mazingira bora ili kupunguza ngono katika umri mdogo.
Ameyaseam hayo katika kikao cha kakati ya Afya ngazi msingi Mkoa unaohusu chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi umefunguliwa rasmi katika jiji la Dar es salaam amabapo.alimualikisha Mkuu Wa Mkoa PaulMakonda
Wazazi/Walezi, wahakikishe kuwa watoto ambao wamefikisha umri wa miaka 14 wanaenda katika vituo vya kutolea huduma za chanjo ikiwemo vituo vya Afya, shule na baadhi ya maeneo katika jamii yaliyopangwa kutumika kwa huduma ya utoaji wa chanjo kama huduma ya mkoba (out rech servce
Pia Aliomba Ushrikiano wa wadau na wananchi wote kwa ujumla ili tuweze kufikia lengo letu la kuhakikisha kila mwananchi anakuwa na afya bora
Naomba nihitimishe kwa kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo zinazotolewa katika vituo vyetu ni salama, hutolewa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa waliobobea katika fani hii kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment