RC Makonda anaamini kuwa ongezeko la watoto wa mitaani, vibaka, mmomonyoko wa maadili, ujambazi, ubakaji, ushoga, chuki na mauaji ni matokeo ya kukosekana kwa misingi bora ya familia.
Hivi karibuni RC Makonda aliendesha zoezi la siku 15 za kutafuta haki ya mtoto alietelekezwa lengo likiwa ni kuweka misingi bora ya ustawi wa familia.
No comments:
Post a Comment