• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 11 May 2018

    Taasisi mbalimbali nchini zimeaswa kutuma fursa iliyoletwa na umoja wa ulaya

    Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Joyce Ndalechako ameushukuru Umoja wa  Ulaya kwa kuisaidia Serikali ya Tanzania euro Milioni 1.5 sawa kiasi cha fedha shilingi billion 4 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia tafiti katika  masuala ya Matumizi ya serikali  ,Uchumi,na Mapato ya Nchi.


    Ameyasema hayo leo Jijijini Dar es salaam katika uzinduzi wa wito kwaajili ya maandiko ya  kuomba fedha kwa ajili ya kusaidia kufanya tafiti katika masuala ya Uchumi,mapato na Matumizi ya Serikali amesema lengo la kuomba fedha hizo ni kusaidia kuwawezesha watu wa taasisi za juu na wanafunzi kutoka taasisi binafsi na kuhakikisha rasilimali za nchi zinatumika na kuleta tija na kuunga mkono serikali ya jamuhuri ya Tanzania.


    Amesema Umoja wa Ulaya wametoa ufadhili wa kuwasomesha wanafunzi katika vyuo mbalimbali nje ya nchi na ndani ya Nchi katika Fani ya Udhamiri,na Uzamivu ili kusaidia Tanzania nayo iweze kuinuka kiuchumi.


    Kwa Upande wake wa balozi wa Umoja wa Ulaya Roelabd van de GEERAmesema amesema Tanzania ni nchi inayoiga hatua kimaendeleo lakini tatizo kubwa hakuna wataalamu wa kufamnya tafiti mbalimbili ili kusaidia Nchi kuendelea kiuchumi


    Aidha Wanafunzi wote wanasomea fani za Udhamiri ili waweze kutumia fursa za fedha zilizotolewa na Umoja wa Ulaya wali Mei 16 Wizara ya fedha kuanzia saa NNE asubuhi

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI