• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 14 November 2017

    WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI MJINI DODOMA

    0659-Jenista na Balozi wa China
    Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania Balozi Wang Ke alipomtembelea katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.Viongozi hao walizungumza masuala mbalimbali ya Ushirikiano na Uwekezaji.
    0661-Jenista na Balozi wa China
    Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista  Mhagama  akimsikiliza  Balozi  mpya  wa  China  nchini  Wang Ke alipomtembelea katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
    0664-Jenista akiongea na Balozi
    Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akifurahia jambo na Balozi mpya wa China nchini Tanzania Balozi Wang Ke alipomtembelea katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
    0671-Jenista na Balozi china
    Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania Balozi Wang Ke na Ujumbe wake leo katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
    7027-Jenista akimkaribisha Balozi china
    Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akimkaribisha Balozi mpya wa China nchini  Ofisi kwake Bungeni leo Mjini Dodoma.
    Picha na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI