• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 24 October 2016

    SHEREHE YA KUMUAGA ALIEKUWA MKURUGENZI MWENDESHAJI WA SHIRIKA LA BIASHARA


    Katibu Muhtasi wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Fatma Saadat akimvisha Koja la Mauwa aliekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika hilo Bi. Mwanahija Almasi Ali katika sherehe ya kumuaga iliyofanyika eneo tengefu Saateni Mjini Zanzibar. Bi Mwanahija kwa sasa ni Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
    mkul2
    Wanafunzi wa Madrasa wakisoma Dua maalum ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biasha la Taifa Zanzibar (ZSTC)Bi. Mwanahija Almasi Ali iliyofanyika eneo tengefu Saateni Mjini Zanzibar.
    mkul3
    Wafanyakazi  wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) na wageni walikwa wakiongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika hilo Dkt. Said Seif Mzee (alievaa shati jekundu) wakiitikia Duwa maalum ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika hilo.
    mkul4
    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZSTC Kassim Maalim Suleiman akimkabidhi Cheti cha utendaji kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la (ZSTC) Bi. Mwanahija Almasi Ali katika sherehe iliyofanyika eneo tengefu Saateni Mjini Zanzibar. (Katikati) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika hilo Dkt. Said Seif Mzee.
    mkul5
    Mgeni rasmin aliekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biasha la Taifa Zanzibar (ZSTC)Bi. Mwanahija Almasi Ali akizungumza na wafanyakazi na wageni waalikwa katika sherehe aliyoandaliwa na wafanyakazi wa Shirika hilo.
    mkul6
    Mgeni rasmin (katikati) waliokaa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa wa Shirika hilo.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI