• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 28 December 2016

    DARASA ATARAJIA KUKIMBIZA DAR LIVE MWAKA MPYA



    Mwanamuziki anaetambulika kwa jina la Darasa sasa anatarajiwa kufanya shoo kali ndania mwaka mpya kwenye ukumbi wa dar live ameazungumza hayao mkurugenzi mkuu wa global pablisher Abdallah Mrisho leo katika viwanja vya karume jijini dar es salaam
     
    Hata hivyo msaani Darasa aliende kusisistiza na kuwataka wananchi na mashabiki zake kujiunga pamoja siku ya mwaka mpya kwa kingilio cha shiling elfu tano 

    Mkurungezi wa Kampuni ya global inayo miliki magazeti ya udaku tanzania amewataka watanznia kuwapa nafasi wasanii wa tanzania ili kuboresha muziki wa kizazi kipya 

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI