• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 16 December 2016

    Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Florens Turuka akabidhiwa rasmi Ofisi


       Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Bw. Job D. Masima Akimtambulisha Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Dkt. Florens Turuka wakati alipowasili Wizarani hapa.


       Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Florens Turuka akiongea na wafanyakazi wa Wizara wakati alipowasili Wizarani hapa.



    Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Bw. Job D. Masima akikabidhi hati ya Makabidhiano kwa Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya hiyo Dkt. Florens Turuka alipowasili Makao Makuu ya Wizara Ulinzi, Upanga.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI