
Ameyasema hayo mtangazaji wa kipindi cha shilawadu leo jijini dar es salaam alipokua akiongea na wandishi wa habari nia na malengo ya ziara hiyo ni kuwashukuru wananchi wanao waunga mkono watangazaji hao
Hata hivyo mtangazaji wa shirika la wambea dunia alisisitiza kua katika ziara hiyo watambatana na wasani mbali mbali ili kuleta mabadiliko kwa wasanii wanao chukiana "alisema
Ziara hii tunatarajia kuleta mabadiliko ya kipindi chetu cha shilawadu hususa tutawakutanisha wasanii mbalimbali kama vile Wema Sepetu na wengine pamoja na wasanii wasio patana tutawapanisha "asilema Qwhisar Thomson
kwa upande mwengine mtangazaji wa kipindi cha shilawadu amewataka watanzania kuunga mkono ziara hiyo itakayofanyika nchi mzima na wale wanao hitaji kuungana na kundi la shiwadu watalipia kiasi cha elfu kumi na tano ili kushiriki kwenye mambo mbalimbali watakayo yafanya kwenye ziara hiyo.

No comments:
Post a Comment