• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 14 December 2016

    UHAPISHO WA 55 KWA MAWAKILI

    1
    Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande akiongea mbele ya mawakili 258 hawapo pichani wakati wa sherehe ya 55 ya uhapisho  huo  iliyofanyika leo  jijini Dar es salaam.
    2
    Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande katikati  akiongoza Majaji wengine kupokea salamu ya utiifu  kutoka kwa mawakili 258 waliopishwa hawapo pichani wakati wa sherehe ya 55 ya uhapisho  huo  iliyofanyika leo  jijini Dar es salaam.
    3
    Baadhi ya Mawakili wakimsikiliza Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande hayupo pichani baada ya kuapishwa wakati wa sherehe ya 55 ya uhapisho  huo  iliyofanyika leo  jijini Dar es salaam.
    4
    Baadhi ya Mawakili wakiwa wamesimama kusubiri kula kiapo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande wakati wa sherehe ya 55 ya uhapisho  huo  iliyofanyika leo  jijini Dar es salaam.
    5
    Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande katikati   akiwa kwenye picha ya pamoja na  baadhi ya Mawakili waliopishwa wakati wa sherehe ya 55 ya uhapisho  huo  iliyofanyika leo  jijini Dar es salaam.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI