Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
John Pombe Magufuli amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jaji Semistocles
Kaijage kuwa mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kipndi
cha miaka mitano.
Pia Rais Magufuli amefanya uteuzi kama
inavyojieleza kwenye taarifa hapo chini iliyotolewa na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi.
No comments:
Post a Comment