• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday 31 January 2017

    TAARIFA KWA UMMA

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
    OFISI YA WAZIRI MKUU

    Anwani ya Simu: “WAZIRIMKUU”                      S.L.P. 3021

      DAR ES SALAAM                    DAR ES SALAAM

    Simu Nambari 2117249/56         2Barabara ya Magogoni
    Fax: 2112850                                                
    Barua pepe: ps@pmo.go.tz
    Tovuti:www.pmo.go.tz                                                            11410 DAR ES SALAAM


    TAARIFA KWA UMMA

    Ofisi ya Waziri Mkuu  inapenda kuwatangazia Umma wa Watanzania pamoja na Wadau wake wote kwa ujumla kwamba, kuanzia Tarehe 1/2/2017  Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu  itakayo tumika ni  S.L.P. 980 DODOMA na SIMU: 026 2322480  Barua pepe: ps@pmo.go.tz. Badala ya Anuani  ya sasa Ambayo ni S.L.P 3021 DSM.

    Hii ni kutokana na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu  kuhamia Makao Makuu ya Serikali Dodoma.

             Karibuni Dodoma

    IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
    OFISI YA WAZIRI MKUU

    31/1/2017

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI