Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe akiangalia chumba cha kuendeshea kesi katika mahakama ya makosa ya rushwa na uhujumi uchumi alipoitembelea leo
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe akiwa nje ya Mahakama hiyo ambapo alipata nafasi ya kuangalia sehemu ambayo wananchi hupumzika wakisubiria kuitwa kwa mashauri yao
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe akimsikiliza kaimu mkuu wa mahakama hiyo Kanda ya Dar es Salaam Mhe. Jaji Winnie Koroso alipokuwa akiatoa taarifa ya utendaji wa mahakama hiyo alipoitembelea leo
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza baada ya kufanya ziara katika Mahakama malum ya makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi Kanda ya Dar es Salaam leo
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe akiangalia kitabu ambacho huingizwa orodha ya mashauri yaliyofunguliwa katika Mahakama maalum ya makosa ya rushwa na ufisadi alipoitembelea leo
…………..
Waziri wa mambo ya katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe ametembeleaDivisheniMaalumyaMahakamainayojishughulishanamakosayarushwanauhujumuuchuminchiniKanda ya Dar es Salaam nakujioneanamnainavyoendeshashughulizake.
AkizungumzakatikaziarahiyoWaziriDktMwakyembeamewatakawatendajiwamahakamahiyokuzingatialengo la uanzishwajiwamahakamahiyoilikuletatijanaufanisiuliofanywakuanzishwakwake.
“Mahakamahiinichombomaalumkilichoundwailikushughulikiamasualayarushwanauhujumuuchumindaniyamudamfupi, nyinyikamawatendajihamnabudikuongezabidiinakuhakikishamashauriyoteyanayoletwakatikamahakamahiiyanamalizikandaniyamudamfupihukumkizingatiahakizakilammojanahivyokufanikishalengo lakuanzishwakwake ”,alisemaDktMwakyembe
Aidhaalisemauanzishwajiwamahakamahiyoulilengakuifanya Tanzania kupunguzautendajiwamakosayaainahiyo au kuyamalizakabisanakuongezakuwakwahaliilivyosasainaonekanakuwauhalifuwaainahiyoumepungua.
Kutokananakupunguakwamakosahayomhe. Wazirialisemaanafikiriakuandaampangowakupunguzakiwango cha gharamazamakosaambayoyatapelekwambeleyamahakamahiyo . “Inaonekanayalemakosayaufisadimkubwahakunakwasasanahili no mojayalengo la kunazishamahakamahiinakwahalihiyonafikiriakujanampangowakupunguzakiwango cha thamaniyamakosaambayokitakuwanichiniyakilekilichowekwaawali cha sh. Bilionimoja,” alisema Dr. Mwakyembe.
AkizungumzakatikakikaohichoKaimuMkuuwaMahakamahiyoMaalumMhe. Jaji Winnie Korossoalisemamahakamahiyoinauwezowakupunguzakiwango cha thamaniyamakosahusikayanayopaswakupelekwanakuongezakuwamahaklamahiyopiainaouwezowakusikilizakesizotezinazohusianananyarazaserikalibilayakujalithamaniyake.
“Mahakamahiiinaouwezowakupunguzakiwango cha thamaniyamashitakayanayoletwahapa, piaijulikanewazikuwamashitakayoteyanayohusunyarazataifayanawezakuletwakatikamahakamahiiwakatibilayakujalithamaniyake,”alisemaMhe. Koroso
AkiongeleautendajikaziwamahakamahiyoMheJajiKorosoalisemampakasasamahakamahiyoimeshasikilizamaombiyadhamanatisaambapositayameshafanyiwakazinamaombimengineyanaendeleakushughulikiwa.
Amesemamahakamahiyoikokatikakandazote 14 zaMahakamaKuunchininahivyomashauriyanayostahilikusikilizwanamahakamahiyoyanawezakupokelewanakusikilizwanchinzimakupitiakandahizonasiokwam,baiko Dar es Salaam pekee.
Aliasemakwakuwamahakamahiyonimaalummashauriyanayopelekwayanatakiwayaweyamemalizikandaniyamiezitisa (9) nahivyohazinabudikuendeshwakwaharakailikufanikishalengo la kusikilizwakwaharakanahivyokusaidiataifa.
No comments:
Post a Comment