Mwenyekiti wa Baraza la Kusimamia
Mfumo wa Utoaji wa Leseni Zanzibar Vuai Mussa Vuai akimkaribisha Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali kufungua mafunzo
ya siku moja ya Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza
la Wawakilishi yaliyofanyika Ofisi ya Baraza Malindi, Mjini Zanzibar.
Waziri wa Biashara, Viwanda na
Masoko Balozi Amina Salum Ali akifungua mafunzo ya siku moja ya wajumbe
wa Kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi
yaliyoandaliwa na Baraza la Kusimamia Mfumo wa Utoaji Leseni katika
Ofisi yao iliyopo Malindi Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya
Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Waziri
wa Fedha Balozi Amina Salum alipokuwa akifungua mafunzo ya siku moja
yaliyofanyika Ofisi ya Baraza hilo Malindi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha,
Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Yussuf Hassan Iddi ambae ni
muwakilishi wa Jimbo la Fuoni akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi
baada ya kufungua mafunzo ya siku moja ya Kamati hiyo.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment