Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni
ya kukabiliana na Maafa Zanzibar Juma Ali Juma akifungua mkutano wa siku
moja wa Kamati ya Kitaifa ya kukabilaiana na maafa katika ukumbi wa
Ofisi ya chanjo Kidongo chekundu Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya
Dkt. Fadhil Mohd Abdalla akielezea mripuko wa maradhi ya kipindupindu
Zanzibar yaliyodumu miezi 11 na kuathiri wananchi 4330 ambapo 68
walifariki.
Mwakilishi wa Shirika la Afya
Ulimwenguni WHO Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmany akizungumza na
wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya kukabiliana na Maafa katika mkutano wa
kutathmini maradhi ya Kipindupindu katika ukumbi wa chanjo
Kidongochekundu.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya
Kitaifa ya kukabiliana na Maafa Zanzibar wakifuatilia mkutano
uliozungumzia mripuko wa wa maradhi ya kipindupindu katika ukumbi wa
chanjo Kidongochekundu.
No comments:
Post a Comment