Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto akiwa
katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Wananchi wa Kiteto
wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia
mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto Februari 15,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea kutoka Mzee Mbambire Oloi Kurukur, jani la mti ikiwa ni ishara
ya amani ya kukomesha mapigano kati ya wakulima na wafugaji wilayani
Kiteto kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa
Kiteto, Februari 15, 2017.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea kutoka kwa Katibu wa Baraza la Amani la Kiteto, Salum
Mambo, jembe la asili ikiwa ni ishara ya kukoma kwa mauaji kati ya
wakulima na wafugaji wilayani Kiteto katika mkutano wa hadhara
aliouhutubi kweye uwanja wa michezo wa Kiteto, Februari 15, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia mikono wananchi katika mkutano wa hadhara aliouhutubi kweye
uwanja wa michezo wa Kiteto, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment