Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Rais wa
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe
wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Rais wa Chama cha Wanasheria
wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu akimueleza jambo Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson
alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi
wengine wa TLS.
Makamu wa Rais wa Chama cha
Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Godwin Ngwilima akifafanua jambo Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson
alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi
wengine wa TLS.
Viongozi wa Chama cha Wanasheria
wa Tanganyika (TLS) wakiwa pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakijadiliana masuala
mbalimbali viongozi hao walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment