Kwamujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mama Sophia Mjema Watu hao wamefukiwa na Kifusi hicho cha chimbo ya kokoto Jana majira ya Saa Nanne Mchana, Lakini mpaka sasa hawajafanikiwa kuwaokoa kulingana na changamoto ya Mvua zinazoendelea kunyesha lakini pia ubovu wa miundombinu njia za kupitishia Mitambo ya uokoaji.

Lakini kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Ilala Salumu Hamduni mpaka sasa kichasubiriwa ni mtambo maalumu wa Ukoaji.


No comments:
Post a Comment