• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 3 April 2017

    PSPTB YATOA MAFUNZO YA UNUNUZI NA UGAVI KWA WATAALAM WA UNUNUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA)

    PS1
    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akizungumza na wataalamu wa Ununuzi na Ugavi katika ufunguzi wa  mafunzo ya ununuzi na ugavi yanayotolewa na (PSPTB) kwa siku tano kwa wataalamu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kwenye ofisi zao zilizopo jengo la Ubungo Plaza Ubungo jijini Dar es salaam  katikati ni Dr.PPascal Wahina Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) na Kaimu Murugenzi Mkuu na kulia ni Bi. Tumaini Hiluka Meneja wa Manunuzi Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA).
    PS2
    Dr. Pascal Waniha Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) na Kaimu Murugenzi Mkuu akizungumza na wataalamu hao wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo  kulia  ni Bi. Tumaini Hiluka Meneja wa Manunuzi Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA).
    PS3
    Baadhi ya wataalamu kutoka Mamlaka ya Hali ya hewa wakifuatilia hotuba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi hayupo pichani .
    PS4
    Kutoka kulia ni watoa mada katika mafunzo hayo Paul Bilabaye Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (PSPTB) na Bw. Amos Kazinza Afisa Mkuu Utafiti na Ushauri (PSPTB)
    PS5
    Wataalam mbalimbali kutoka Mamlaka ya hali ya Hewa TMA wakifuatilia mada katika mafunzo hayo.
    PS6
    Wataalam mbalimbali kutoka Mamlaka ya hali ya Hewa (TMA) wakifuatilia mada katika mafunzo hayo

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI