Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mama Diana
Mwakasege, Mke wa Mwalimu Christopher Mwakasege walipofika kumtembeela
ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Mwalimu Christopher Mwakasege
akifanya maombi kwa ajili ya Spika wa Bunge na Bunge kwa ujumla wakati
alipomtembelea Spika ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mwalimu Christopher
Mwakasege na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini
Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment