• Breaking News

    ..

    ..

    Wednesday, 17 May 2017

    Msanii kutoka Zanzibar atarajia kushusha video mpya

    Msanii wa bongo flevar Kinde Makengeza anatarajia kuibuka na video mpya ya wimbo wake unao kwenda kwa jina la kidogokidogo

    Pamoja na hayo Kinde amedai kua  atafanya vizuri zaidi katika nyimbo hiyo husaa kwa upande wa video

    Amesema kua Director anaemtumia amemuhidi atatoa Kazi zake vizuri kuliko Kazi zake ambazo alizo kua akizifanywa kipindi cha nyuma

    Ameyasema hayo akizngumza na Z4news Media Group visiwani Unguja

    Kwa upande mwengine msanii huyo amewataka wasanii wa Zanzibar kuachana majungu na chuki kwani vitu hivyo vitawapelekea kutopanada katika masoko ya kimatiafa kimziki...

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI