• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 1 May 2017

    USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI-DODOMA


    Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mjini Dodoma.
    Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakipita mbele ya mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
    Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
    Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri akisoma hotuba wakati wa Sherehe  za Mei Mosi zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI