• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 1 May 2017

    Wikiendi ya maharusi: Madam Flora, Mx Carter na Stan Bakora


    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, muimbaji wa nyimbo za injili, Flora Mbasha ambaye awali aliolewa na muimbaji mwenzie Emmanuel Mbasa, hatimaye ameolewa wikiendi hii na kijana anaetambulika kama Daudi Kusekwa huko Mwanza.

    Wikiendi iliyopita imekuwa wiki ya ndoa kwa baadhi ya watu maarufu wakiwemo Stan Bakora na Mx Carter ambaye ni mpiga picha wa baadhi ya mastaa .
    Tazama picha hapa;


    Na Laila Sued

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI