..
Wednesday, 7 June 2017
Habari
Home
Breaking News
Habari
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Mbunge wa jimbo la Serengeti
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mhe. Marwa
Ryoba Chacha wakati wa ziara yake katika wilaya ya Serengeti, Mbunge
huyo alimwambia Makamu wa Rais kuwa jimboni kwake wanafanya kazi kwa
kushirikiana na Serikali bila kujali itikadi za vyama
Created By Sora Templates
Created By Bongotech
No comments:
Post a Comment