Tasisi ya ahaki za binadamu imepokea malalamiko makubwa ya watu wenye ulemavu kuonewa na jeshi la polisi mnamo tarehe 16-06-2017 posta,jijini dar-es-salaam.
Hivyo basi watu hao wenye ulemavu ambao walikuwa ni waendeshaji wa bajaji walionewa kwa kupigwa na baadhi ya wanawake kudhalilishwa kwa kiasi kikubwa kwa jeshi hilo kutumia nguvu kubwa kuzuia mgomo huo, ivyo basi mheshimiwa Anna Henga ''amesema ya kuwa '' tunasikitishwa na kulahani vikali,vitendo vya unyanyasaji kama ivyo.
Tena aliongea kwa msisitizo mkali sana.Hivyo basi wametoa takwimu ya vifaa vilivyo potea na kualibiwa na jeshi hilo,zimealibiwa bajaji 30na kupotea simu pamoja na pesa,pia fidia kwa waathilika walolipoti kupotelewa na mali zao kutokana na shambulizi hilo.na muandishi VABY AZRAH Z4NEWS
..
Tuesday, 20 June 2017
Habari
No comments:
Post a Comment