• Breaking News

    ..

    ..

    Monday 31 July 2017

    WAZIRI AMINA AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR


    DSC_1245
    Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi mara Baada ya kuzinduwa Baraza la Wazalishaji katika Hoteli ya Grand Palace malindi Mjini Unguja.
    DSC_1261
    Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wenye Viwanda Kilimo na Utalii(ZNCCIA)Taufiq Tourky akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya Kuzinduliwa kwa Baraza la Wazalishaji lililofanyika katika Hoteli ya Grand Palace  malindi Mjini Unguja.(PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI