Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa
ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa (wa pili kulia) akizungumza na
mmoja wa mafundi wanaojenga Jengo Jipya la Makao Makuu ya ofisi hiyo
mkoani Dodoma wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo. Wa
kwanza kushoto ni Mhandisi John Ainainyi Njau kutoka Benki ya Dunia –
Tanzania.
Muonekano wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linalojengwa mkoani Dodoma.
Muonekano wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linalojengwa mkoani Dodoma.
Baadhi ya mafundi wakiwa
wanaendelea na kazi ya ujenzi wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya
Taifa ya Takwimu (NBS) linalojengwa mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment