Meneja Msaidizi wa Huduma kwa
Abiria wa Forodha kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNIA), Bw. Damas Temba (wa kwanza kulia), akitoa maelezo kwa
Manaibu wa Wizara za Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano-Mhandisi Edwin
Ngonyani (wa kwanza kushoto), Wizara ya Maliasili na Utalii – Mhandisi
Ramo Makani (mwenye miwani) na Wizara ya Mambo ya Ndani – Mhe. Yussuf
Masauni (wa tatu kulia) walipofanya ziara ya kukagua miundombinu ya
JNIA.
..
Wednesday, 9 August 2017
Habari
Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Uzingatiaji Viwango cha Mamlaka ya Viwanja vha
Ndege Tanzania (TAA), Bw Paul Rwegasha (watatu kutoka kulia) akitoa
maelezo mbalimbali kwa Manaibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mhe Yussufu
Masauni (wa pili kulia); Wizara ya Maliasili na Utalii Mhandisi Ramo
Makani (mwenye suti nyeusi) na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (wa tatu kutoka kushoto),
walipotembelea jengo la abiria la Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNIA).
Afisa
Mwandamizi wa Uhamiaji, SACI Fulgence Mutarasha (wa kwanza kulia)
akitoa ufafanuzi juu ya ulipaji wa visa kwa wasafiri wanaotoka nje ya
nchi kwenye kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA),
baada ya eneo hilo kutembelewa na Manaibu wa Wizara za Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano-Mhandisi Edwin Ngonyani (wa pili kulia), Wizara ya
Maliasili na Utalii – Mhandisi Ramo Makani (mwenye miwani) na Wizara ya
Mambo ya Ndani – Mhe. Yussuf Masauni (wa tatu kulia
Home
Habari
MANAIBU WAZIRI WATATU WATEMBELEA UJENZI WA JENGO JIPYA LA ABIRIA UWANJA WA NDEGE WA JNIA JIJINI DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment