Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jaffo (watatu kulia)
akimkabidhi hati ya ushindi Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg.
Nnenelwa Wankanga (kushoto) baada ya Ofisi ya Bunge kuwa washindi watatu
katika kundi la Wizara za Sekta ya Huduma za Jamii kwenye Sherehe za
Sikukuu ya Wakulima Nane nane zililofanyika jana katika Uwanja wa
Nzunguni, Mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge
wakiongozwa na Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Ndg. Nnenelwa Wankanga
(wanne kushoto) wakionyesha hati ya ushindi baada ya Ofisi ya Bunge kuwa
washindi watatu katika kundi la Wizara za Sekta ya Huduma za Jamii
kwenye Sherehe za Sikukuu ya Wakulima Nane nane zililofanyika jana
katika Uwanja wa Nzunguni, Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment