• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 10 August 2017

    MANJI HALI BADO TETE




    KESI inayomkabili mfanyabiashara na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeahirishwa leo hadi Agosti 22 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kusomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi, Cyprian Mkehe.

    Maelezo hayo yalisomwa na wakili wa serikali, Timon Vitalis, yalihusu utambulisho wa jina lake kamili, kazi anayofanya, tarehe aliyokamatwa, alivyopelekwa kwa mkemia na alivyopekuliwa nyumbani kwake. Katika kesi hiyo Manji anawakilishwa na wakili Alex Mgongolwa

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI