Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha
Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia
Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi
wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi
mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika la
Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Volker Turk, akichangia hoja wakati
wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika
hilo.Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na
suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali
nchini.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba.Kikao
hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Mwakilishi waShirika la Kuhudumia
Wakimbizi Duniani(UNHCR) nchini Tanzania, Chansa Kapaya,
akichangiahojawakati waKikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya
Serikali na Shirika hilo .Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi
wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi
mbalimbali nchini.Kushoto niMakamu Kamishna Mkuu wa Shirika hilo, Volker
Turk.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahaya,akizungumza wakati wa Kikao
cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la
Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya
uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko
katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani, akichangiahojawakati waKikao cha
Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo.
Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la
kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini..Kikao
hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Mpango wa Kuwahudumia
wakimbizi,Dkt. John Jingu,akizungumza wakati wa Kikao cha Majadiliano ya
Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi
Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya wakimbizi na
suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali
nchini.Kushoto ni Mkurugenzi wa CSFM, Prof. Bonaventure Rutinwa. Kikao
hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mwigulu Nchemba (wanne kulia waliokaa), Makamu Kamishna Mkuu wa
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Volker Turk(watano kulia
waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na washriki wa Kikao cha
Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia
Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi
wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi
mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
………………………
MWIGULU AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA WAKIMBIZI
Na MwandishiWetu
Waziri wa Mambo
yaNdaniyaNchi,MwiguluNchemba,
amefunguaKikaokinachowakutanishaWadauwaMasualayaWakimbizikutokaSerikaliyaJamhuriyaMuunganowa
Tanzania naWatendajiWakuuwaShirika la KuhudumiaWakimbiziDuniani
(UNHCR),leojijini Dar esSalaaam.
AkizungumzawakatiwaUfunguzihuo,
Mwigulualiwatakawashirikiwakikaohichokujadilikwa kina
nakufikiamakubalianojuuyasuala lauhifadhiwakimbizinasuluhisho la kudumu
la
wakimbizihukuakiahidiSerikaliikotayarikupokeawakimbizikamailivyokuwadesturihukuakisisitizaSerikalihaitumvumiliamkimbiziatakaevunjasherianakuwaasakufanyautaratibuwakurudikatikanchizaowakimbiziambaonchizaohaliyausalamaimerejea.
“Tukiwaleotukokatikakikaohiki cha
viongoziwajuuwaSerikalinaUongoziwaShirika la KuhudumiaWakimbizi,
ninaimanitutafikiamuafakajuuyasuala la uhifadhiwakimbizinasuluhisho la
kudumu la wakimbizi, Serikaliya Tanzania
imekuanadesturiyamudamrefuyakupokeawakimbizinakuwahudumia,ilanawaaasawadauwotewashirikianekwapamojakatikakubebagharamazinazohusujambo
la kuwahifadhiwakimbizi,” alisemaMwigulu
AkizungumzawakatiwaKikaohicho,
MakamuKamishnaMkuuwaShirika la KuhudumiaWakimbiziDuniani (UNHCR), Volker
Turk,alisemawamekujanchiniilikujadilisualanzima la
uhifadhiwakimbizinakupokeamaonikutokakwanchiwenyejihukuakisisitizalengo
la
kikaohichonikuonajinsiganichangamotombalimbalizinazoletwanawakimbizizinawezakutatuliwa.
“Napenda kwanza
kuishukuruSerikaliya Tanzania
nawananchiwanaoishikatikajamiizilipokambizawakimbizikwaukarimuwaowamudamrefuwakuwapokeawakimbizikutokanchimbalimbaliwanaokimbiamachafukokatikanchizao,tunafahamuchangamotowanazopatajamiihizo,
ndiomaanatumeombakukutananaSerikalikuonasuluhisho la kudumu la
changamotohizo.
KikaohichokimewashirikishawadaumbalimbaliikiwemoSerikalikupitiaWizaraya
Mambo yaNdaniyaNchi, Wizaraya Mambo
yaNje,OfisiyaMwanasheriaMkuuwaSerikali,OfisiyaRais,WakuuwaMikoazilipokambizawakimbizinaViongoziwajuuwaShirika
la KuhudumiaWakimbiziDunianikutokaMakaoMakuunchini Geneva.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment