Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa tatu kulia), akizungumza na Rais
wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooporation (CCECC)
Bw. Zhao Dianlong kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara za maingiliano
katika eneo la Ubungo (Ubungo interchange), leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa pili kulia), akizungumza na
Makamu wa Rais wa kampuni ya China Harbour Engineering Company Ltd Bw.
Liyi .. kuhusu upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Leo Jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa kampuni ya China
Harbour Engineering Company Ltd Bw. Li-yi (Wa tatu kulia), akifafanua
jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa (Wa pili kushoto), kuhusu shughuli za Upanuzi wa Bandari ya Dar
es Salaam, leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa pili kulia) akizungumza na
Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania Bw. Song Geum-young (Kulia),
kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na nchi yake hapa
nchini.
Balozi wa Jamhuri ya Korea Bw.
Song Geum-young (Kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Wa tatu kulia), kuhusu
maendeleo ya Miradi mbalimbali nchini
No comments:
Post a Comment