Hapo jana September 2, 2017 Mhe. Lissu alishambuliwa kwa kupingwa risasi na watu wasiojulikana akiwa anawasili nyumbani kwake mjini Dodoma na usiku wa kuamkia leo alisafirishwa hadi Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya matibabu. Kupitia mitandao ya kijamii Nape ameandika maneno 24 kuhusiana na tukio hilo.
Masaa machache kabla ya kushambuliwa kwa risasi jana!Naamini mjomba Mwenyezi Mungu atakurudisha salama uje utueleze ukweli wa wauaji hawa!Hasa the T460CQV uliyoilalamikia!SOMA ZAIDI Nnauye atishiwa bastola kwenye mkutano na waandishi wa habari
Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo na Spika wa Bunge Job Ndugai bungeni imeeleza kuwa kuwa gari ya Mhe. Lissu ilipigwa jumla ya risasi 28 hadi 32, lakini zilizompata ni 5 tu.
No comments:
Post a Comment