Madaktari
Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Evarist Nyawawa (kulia) na mwenzake Ajay Kaul
(kushoto) wa Hospitali ya BLK ya nchini India wakimfanyia mgonjwa leo
upasuaji wa kuziba tundu la moyo.
Madaktari
Bingwa wa usingizi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Anjela
Muhozya na Sameer Arora wa BLK Hospitali ya nchini India wakizungumza
jambo wakati wakimsubiri mgonjwa aandaliwe kwaajili kuingia katika
chumba cha upasuaji wa Moyo.
Madaktari
Bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya BLK ya nchini India wakimfanyia
mgonjwa leo upasuaji wa kuziba tundu la moyo.
Kazi ya upasuaji wa moyo kwa ajili ya kuziba tundu lililopo katika vyumba vya chini ya moyo ikiendelea.
Picha na JKC
No comments:
Post a Comment