Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akisalimiana na maafisa wa Polisi alipowasili katika
mkoa wa Mtwara, leo kwa ziara ya siku moja ya kikazi yenye lengo la
kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki
wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro (kushoto), akimsikiliza Kamamanda wa Polisi mkoa wa
Mtwara, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas Mkondya, leo kwa ziara ya
kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na
kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu
ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu
ya Polisi mkoa wa Mtwara, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo
yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa
kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi alipowasili
mkoa wa Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la
kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki
wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akizungumza na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia
mkoa wa Mtwara, mara baada ya kukagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa
ajili yake. IGP Sirro, yupo mkani humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja
yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa
kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Picha na Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment