• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday 19 December 2017

    Baraza la SUMATRA latoa onyo kwa TABOA

    Na Stahmil Mohamed


    Baraza la mamlaka ya usafiri nchini imewataka wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani kupitia umoja wao(TABOA)Kufuata masharti ya leseni zao na kutoza nauli zilizoidhinishwa na SUMATRA.
    Hayo yamesemwa na katibu mtendaji wa baraza LA ushauri LA watumiaji wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini DKT Oscar Kikoyo ambapo amebainisha kuwa kumekuwa na Tabia ya kupandisha nauli kiholela ambazo hazijaainishwa na mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu(SUMATRA) kwa baadhi ya mabasi nchini katika kipindi hiki cha sikukuu za kufunga mwaka jambo ambalo ni kinyume na sheria hivyo amewataka  wamiliki wote wa mabasi kuwahimiza wafanyakazi wao wanaokata tiketi katika vituo mbalimbali nchini kuwa waaminifu kwa waajiri wao na wateja wao.
    Aidha Baraza limewatoa wito kwa watu wote wanaotarajia kusafiri kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kufanya maandalizi ya safari zao mapema ikiwa ni pamoja na kukata tiketi zao mapema ili kuepukana na matatizo ya kulanguliwa tiketi na baraza limewaonya abiria kutonunua tiketi za safari zao kutoka kwa wapiga debe au vishoka katika eneo LA kituo cha mabasi cha ubungo au vituo vingine nchini kote.
    Vile vile baraza linatoa wito kwa TABOA na watumishi wao kuzingatia  kanuni usafirishaji Nakuhakikisha madereva wao wanaendesha magari kwa mwendo unaokubalika ili kuepusha ajali na vif

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI