"Actualy siwezi kusema nachukuliaje wanaume wenye maumbile madogo, na ndio nawapenda pia, kwa sababu mimi mwenyewe mdogo, nitapendaje vitu vikubwa ambavyo siwezi kuvihimili? Unajua mwanamke anayesema mwanaume mashine namshangaa, mwanaume pesa bwana, mwanamke ambaye anajua maisha, hawezi kusema mwanaume mashine, mimi mwenyewe siwezi kusifia mashine", amesema Wolper.
Pamoja na hayo Jackline Wolpler amesema kwa sasa hataki kujihusisha sana na masuala ya mahusiano, kwani amezipa kipaumbele kazi zake tu.
No comments:
Post a Comment