Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
katika serikali ya awamu ya nne na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya
CCM, Stephen Wasira amedai hawawezi kufanya siasa bila ya kukitaja chama
cha CHADEMA kwa kuwa ndio shetani wao
Stephen Wasira
"Nimemshangaa kiukweli mgombea huyo, maana hata Maimamu na Wachungaji huwa hawawezi kumaliza ibada bila ya kumtaja shetani maana shetani ndio mpinzani wao na endapo wasipotaja wana kuwa hawajamaliza ibada yao. Hivyo asishangae sana na sisi tunapokuwa katika siasa kuitaja CHADEMA kwa maana ndio shetani wetu hapa", alisema Stephen Wasira.
Kwa upande mwingine, Wasira amesema tokea mwaka 2015 kumekuwa na siasa za kishetani nchini Tanzania hasa upande wa upinzani ambazo zimetaw
No comments:
Post a Comment